Friday, February 26, 2016
MAJALIWA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNHCR NCHINI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR), Bi. Joyce Mends- Cole, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment