Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Februari 1, 2016.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akisoma Mapendekezo ya Mpango wa Taifa Unaokusudiwa Kutekelezwa na Serikali Pamoja na Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Bajeti ya Serikali katika Mwaka wa Fedha, 2016/2017, bungeni mjini Dodoma Februari 1, 2016.
Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangallah akijibu Maswali Bungeni Mjini Dodoma Februari 1, 2016.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akijibu Maswali Bungeni Mjini Dodoma Januari 1, 2016.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki (katikati) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete Bungeni Mjini Dodoma Februari 1, 2016. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Jukwaa la Wahariri nchini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 1, 2016. Kutoka kushoto ni Mjumbe , Jesse Kwayu, Makamu Mwenyekiti, Deodatus Balile na Katibu Mkuu Neville Meena.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment