Monday, March 21, 2016

MSANII KLEYAH ALIVYOWASHIKA WAPENDA MUSIC NA VIDEO YAKE MPYA YA AFRICAN DRUM.PICHA ZOTE ZA UZINDUZI ZIKO HAPA

 Msanii wa musiki wa kizazi kipya nchini Tanzania anatekuja kwa kasi ya aina yake maarufu kama  ‘Msobe Msobe’, Claire Pamela Kamahoro ‘Kleyah’, KLEYAH wikiendi hii amezindua video na audio mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la AFRICAN DRUM uzinduzi ambao ulifanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa usiki huo pamoja na wasanii mbalimbali nchini.

Katika uzinduzi huo msanii KLEYAH alifanya onyesho la kuizindua ambapo aliwakonga nyoyo mashabiki wake kwa wimbo huo mpya ambayo ina mahadhi ya kiafrica zaidi huku video yake ikitajwa kuwa ni video bora Tanzania zilizopata kutokea kwa siku za karibuni.

Nyota huyo wa nyimbo ya msobe msobe aliyomshirikisha Barnabar boy alipiga story na mwandishi wa mtandao huu ambapo alisema kuwa amejipanga  kuhakikisha kuwa anawshika watazania na hususani wapenzi wa musiki wa bongo fleva nchini huku akiahidi kuwa atafanya kazi nzuri pamoja na kushirikiana na wasanii mbalimbali wa nchini Tanzania.





Msanii KLEYAH kifanya vitu jukwaani wakati wa uzinduzi huo wa Video mpya ya AFRICAN DRUM.kufaidi pichan zote za uzinduzi huo endelea hini Hapo



























No comments: