Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongeza na uongozi wa juu wa
Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na
Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius Likwelile alikofanya ziara ya kushtukiza
makao makuu ya BOT jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea jambo na Gavana wa
Benki Kuu Profesa Benno Ndulu alipokutana na kuongea na uongozi wa juu
wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango
(kushoto) na Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius Likwelile alikofanya ziara
ya kushtukiza makao makuu ya BOT jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiaga baada ya kukutana na
kuongea na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt Philip Mpango (kushoto) na Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius
Likwelile alikofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya BOT jijini Dar
es salaam leo Machi 10, 2016

Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongozana kutoka nje Gavana wa
Benki Kuu Profesa Benno Ndulu alipokutana na kuongea na uongozi wa juu
wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na
Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius Likwelile alikofanya ziara ya kushtukiza
makao makuu ya BOT jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt Philip Mpango baada ya kufanya ziara ya kushtukiza makao
makuu ya BOT jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016 Kushoto ni Gavana
wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa kaongozana na Naibu
Gavana wa BOT Dkt Natu Mwamba akiwasili makao makuu ya Benki Kuu ya
Tanzania alikofanya ziara ya kushtukiza leo Machi 10, 2016
No comments:
Post a Comment