Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mh Martini Shigella akizungumza na
wenyeviti wa mitaa kuhusu kujadili masuala mbalimbali ya kimaendeleo
katika Jiji la Tanga,kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi
Zena Ahmed na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Alhaj Abdulla
|
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Ahmed akizungumza katika kikao
hicho kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella na kushoto ni
Katibu wa CCM wilaya ya Tanga,Lucia Mwiru na anayefuata ni Mkurugenzi wa
Jiji la Tanga,Daudi Mayeji |
|
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Mustapa
Selebosi akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa BMK
Sahare Jijini Tanga |
|
Baadhi ya wenyeviti wa Mitaa mbalimbali
Jijini Tanga wakiwa ukumbini tayari kumsikiliza RC
Shigella |
|
Kulia ni
Msaidizi wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Amiri Mkapanga akifuatilia kwa umakini
maelekezo wa RC Shigella kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kwenye Jiji
la Tanga. |
Picha kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
No comments:
Post a Comment