Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kabla ya kuondoka kwenda London Uingereza Mai 10 , 2016, kumwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi wa kujadili masuala ya kupambana na rushwa duniani.
(Picha n Ofisi ya Wziri Mkuu
No comments:
Post a Comment