Thursday, June 16, 2016

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAELEZA HALI YA ULINZI NA USALAMA KWA MTOTO WA TANZANIA

TUM1Mkurugenzi wa Haki za Binadamu kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Francis Nzuki akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mapendekezo ya Tume hiyo kwa Serikali na Jamii katika kuhakikisha Ulinzi na Usalama kwa Mtoto  unaimarika. Katikati ni Kamishna wa Tume hiyo Bi. Salma Ali Hassan.
TUM2Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Salma Ali Hassan akiongea na waandishi wa Habari(hawapo pichani) kuhusu hali ya mtoto wa Tanzania na mazingira hatarishi wanayokutana nayo ikiwemo ubakaji, ulawiti na unyanyasaji wa kijinsia. Kushoto ni Mkurugenzi wa Haki za Binadamu kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Francis Nzuk

No comments: