Wabunge saba wazoefu kutoka upinzani wapo nje ya bunge la Tanzania huku bajeti ya nchi ikitaraji kusomwa wiki hii bungeni Dodoma,sasa mmoja kati ya wabunge hao ni Mh ZITTO KABWE ambaye naye alisimamishwa kuingia bungeni.Hii hapa ni siri nyingine ambayo anaieleza Mh ZITTO kuhusu kufukuzwa kwao kipindi hiki muhimu cha bajeti |
No comments:
Post a Comment