Monday, June 6, 2016

VIDEO--ZITTO AFUNGUKA MAZITO KUHUSU SERIKALI INAVYOTUMIA MBINU KUMDHOOFISHA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI

Ni mwendelezo wa mambo yaliyojitokeza katika mkutano wa jana wa chama cha ACT WAZALENDO chini ya kiongozi wao mkuu ZITTO KABWE mkutano ambao ulikuwa wakuwaeleza watanzania juu ya kile ambacho kilichotokea bungeni,Hii hapa video nyingine maswala mazito aliyoyaeleza jana

No comments: