Thursday, June 2, 2016

WAKIMATAIFA YANGA WAANDAMANA HADI MAKAO MAKUU LEO--KISA HIKI HAPA


Wanachama na wapenzi wa Yanga wakiwa wamejitokeza makao makuu ya klabu yetu kwa ajili ya kumsindikiza Mwenyekiti wa Yanga katika zoezi la kuchukua fomu akiomba ridhaa nyingine ya kuomba kuiongoza Yanga.
Wanachama hao wamebeba ujumbe-"UNASEMA MANJI HAJAIFANYIA KITU YANGA, JIULIZE WEWE UMEIFANYIA NINI?"





No comments: