Wednesday, June 22, 2016

WAZIRI WA AFYA , ATEMBELEA VIJIJI VILIVYOKUMBWA NA MLIPUKO WA UGONJWA USIOJULIKANA WILAYANI KONDOA.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kutembelea vijiji vilivyokumbwa na mlipuko wa ugonjwa
usiojulikana  katika kijiji cha mwaisabe,Wilayani Kondoa. 
Katika ziara hilyo ameambatana na wataalam mbalimbali ambao wameweka kambi kwenye vijiji hivyo ili
kufuatilia wagonjwa majumbani.vile vile ametembelea wagonjwa
waliolazwa katika hospitali ya wilaya ya kondoa.
Mbunge wa Kondoa Mhe. Juma Nkamia akizungumza wakati wa ziara hiyo.
 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya ya Kondoa.Mhe.Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kutembelea vijiji vilivyokumbwa na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana  katika kijiji cha mwaisabe,Wilayani Kondoa.

No comments: