![]() |
Ili
kupambana na changamoto za ajira Nchini kama kijana hususani mwanafunzi wa
elimu ya juu, unaitaji mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha. #CampusVybez ya #TimeFm @timesfmtz @sandytemu @djj_one @
inakukutanisha wewe kijana na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi ajira na
vijana Antony Mavunde, kuzungumzia mbinu za kujikwamua kwenye ajira
@anthonymavunde Jumamosi hii Protea Hotel, saa mbili kamili
asubuhi.
No comments:
Post a Comment