HII NDIYO HALI YA DODOMA KUELEKEA MKUTANO MKUU WA CCM
Zaidi ya 70 wa CCM wamefanya kazi ya kuzunguka maeneo mbalimbali ya mji huo wakipamba kwa kuweka bendera mitaa na baadhi ya vyombo vya usafiri ikiwemo magari, bajaji, pikipiki hadi kwa wafanyabiasha ambao ni wapenzi wa chama hicho.
PICHA NA EDWIN MJWAHUZI
No comments:
Post a Comment