Thursday, August 4, 2016

ORODHA YA VYUO 175 NCHINI VILIVYOPEWA NOTISI YA KUSHUSHWA HADHI

vuo1Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Mhandisi Steven Mlote(kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,wakati wa alipokuwa akitoa tamko la baraza hilo juu ya kuvifutia Usajili baadhi ya vyuo ambapo kati ya 175 vimepewa notisi ya kushushwa hadhi na 5 vimefutiwa Usajili na 41 vimetakiwa kujisajili mara moja ,ikiwa katika jitihada za kuboresha elimu ya ufundi nchini,Katikati Kaimu wa baraza hilo Dkt. Adolf Rutayuga na Mkurugenzi wa Udhibiti,Ufuatiliaji na Tathimini Bi. Agness Ponera.
vuo2Baadhi ya wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) wakiwa kwenye mkutano wakati Mwenyekiti wa Baraza hilo Mhandis Steven Mlote(hayupo pichani)alipokuwa akiongea na waandishi habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na tamko la baraza hilo kuvifutia Usajili baadhi ya vyuo ambapo kati hivyo 175 vimepewa notisi ya kushushwa hadhi na 5 vimefutiwa Usajili na 41 vimetakiwa kujisajili mara moja,ikiwa katika jitihada za kuboresha elimu ya ufundi nchini.

………………………………………………………………………………………………………
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza kuwa vyuo 5 vimefungwa kuendesha mafunzo na kufutwa kwenye rejista ya vyuo vya ufundi nchini.
Pia Baraza limetangaza kuwa vyuo 41 vinavyotoa elimu ya ufundi bila kusajiliwa kwa mujibu wa sheria vimepewa muda wa wiki mbili na kutakiwa vijisajili mara moja kwenye Baraza hilo kabla ya kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
Vilevile, vibali vya  usajili wa vyuo 112 vya kutoa elimu ya ufundi vimefikia ukomo hivyo vinapaswa kutekeleza masharti ya Usajili; wakati  vyuo 57 vimefikia ukomo wa ithibati, hivyo inapaswa kutekeleza masharti ya ithibati, imetangazwa jana.
Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Baraza (NACTE), Mhandisi Steven Mlote, amesema Baraza limetoa muda wa mwezi mmoja kwa vyuo 112 kutekeleza masharti ya usajili na vyuo 52 kutekeleza masharti ya ithibati kwa mujibu wa sheria za uendeshaji vyuo vya ufundi nchini, na vyuo vitakavyoshindwa kutekeleza agizo hili vitafungiwa mara moja.
Mhandisi Mlote pia alitoa onyo akisema “vyuo 41 vinavyotoa elimu ya ufundi bila kusajiliwa kwa mujibu wa sheria nimevipa muda wa wiki mbili na navitaka vijisajili mara moja kwenye Baraza kabla ya kuchukuliwa hatua kali za kisheria”.
Mhandisi Mlote alivitaja vyuo vyote vyenye matatizo kama ifuatavyo:
Jedwali I: Vyuo vya Ufundi Vilivyofutiwa Usajili
NA.CHUO
 State College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam
 Zoom Polytechnic College – Dar es Salaam
 Tabitha College – Dar es Salaam (formerly: Thabita Vocational Training College – Dar es Salaam)
 Financial Training Centre – Dar es Salaam
 TMBI College of Business and Finance – Dar es Salaam
Jedwali II: Vyuo ambavyo Havijasajiliwa na vinavyoendesha Programu zisizo na Kibali cha Baraza

NA.CHUO
1.       King Solomoni College – Arusha
2.       Avocet College of  Hotel Management – Arusha
3.       Kewovac Nursing Training Centre – Mbagala, Dar es Salaam
4.       St. Family Health Training Institute – Mbagala, Dar es Salaam
5.       Bethesda Montessori Teachers Training College – Arusha
6.       Green Themi Teacher’s College & Green Themi Institute of Tourism
7.       Mainland Institute of Professionals – Arusha
8.       St. David College of Health – Dar es Salaam
9.       Islamic Culture School – Dar es Salaam
10.   Tanzania Education College – Dar es Salaam
11.   Macmillan Training College – Dar es Salaam
12.   Tanzania International University (TIU) – Dar es Salaam
13.   Dodoma College of Business Management – Dodoma
14.   Faraja Health and Emergencies – Mbeya
15.   St. Joseph College – Mbeya
16.   St. Peter Health Management – Mbeya
17.   Kapombe Nursing School – Mbeya
18.   Uyole Health Institute – Mbeya
19.   Josephine Health Institute – Mbeya
20.   Institute of Public Administration – Chake chake Pemba
21.   Dar es Salaam College of Hotel and Business Studies – Vuga, Unguja, Zanzibar and Chake Chake, Pemba, Zanzibar
22.   Zanzibar Training Institute, the Professional College of Information Technology, Languages and Business Studies – Mwera Meli Sita Unguja  Zanzibar
23.   Azania College of Management – Raha Leo, Zanzibar
24.   Time School of Journalism – Chakechake, Pemba
25.   Residence Professional College – Mombasa, Zanzibar  
26.   Mkolani Foundation Organisation – Mwanza
27.   Kahama College of Health Sciences – Kahama
28.   Institute of Adult Education-Mwanza Campus – Luchelele Site
29.   Zoom Polytechnic – Bukoba
30.   Johrow Star Training College – Shinyanga
31.   St. Thomas Training College – Shinyanga
32.   Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication DMSJ – Bukoba
33.   Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ – Mwanza
34.   Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ – Geita 
35.   Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ – Simiyu
36.   Harvest Institute of Health Sciences – Mwanza
37.   Singin International – Bukoba
38.   College of Business Management – Mombasa, Zanzibar
39.   Tanzania Star Teachers College – Chakechake, Pemba, Zanzibar
40.   Tanzania Star Teachers College – Unguja, Zanzibar
41.   St. Mary’s International School of Business – Sumbawanga
Jedwali III: Vyuo Vilivyosajiliwa lakini Vinatoa Programu zisizo na Kibali cha Baraza
NA.CHUOPROGRAMU
1.AP and Prime College of Business Studies – Dar es SalaamMedical Attendant
Nursing Assistant
2.Universal College of Africa – Dar es SalaamBanking and Finance
Business Administration
Clearing and Forwarding
Airfares
Information and Communication Technology
Nursing
Hotel Management
Secretarial Course
Procurement and Supplies
3.Professional Skills Development International  (PSDI-CENTRE) Centre – BagamoyoOffering Non-NTA programmes (Various Short Courses)
4.Ruter Institute of Financial Management – MwanzaAccountancy
Procurement and Supply
Banking and Finance
ICT
  5.Mwanza Polytechnic College – MaswaOrdinary Diploma in Early Childhood Education
      6.

Royal College of Tanzania – Dar es SalaamLaw
  7.Belvedere Business and Technology College – MwanzaAccountancy
  8.Chato College of Health Sciences and Technology – ChatoPharmacy
9St. Glory College of Health and Allied Sciences – Dar es SalaamMedical Attendant

10.Zoom Polytechnic College – Dar es SalaamComputer Science

11.Zanzibar Technology College – ZanzibarComputer Science
Business Information System
Jendwali IV: Vyuo vyenye Hadhi ya Usajili Iliyokwisha Muda wake
NA.CHUO
 Mteule Training College – Morogoro
 Favre Language and Communication Institute – Dar es Salaam
 Eagle Wings Training College – Dar-es-Salaam
 The Sinon College – Dar es Salaam
 Green Hill Institute (GHI) – Mbeya
 Institute of Business Management (IBM) – Morogoro
 Modern Commercial Institute (MCI) – Dar es Salaam
 Evin School of Management – Dar es Salaam
 SAMFELIS College of Business Studies – Dar es Salaam
 Agape College – Dar es Salaam
 Belvedere Business and Technology College – Mwanza
 Dar es Salaam Institute of Business Management – Dar es Salaam
 Ellys Institute of Technology – Bunda
 Tanzania Institute of Chartered Secretaries and Administrators (TICSA) – Arusha
 Msakamali Institute of Business Studies and Technology (MIBST) – Msata
 Cum Laude College – Njombe
 Tarime Institute of Business Management (formerly Tarime Business Training Institute) – Tarime
 Dar es Salaam College of Hotel and Business Studies – Dar es Salaam
 Institute of Management and Development Studies – Iringa (Formerly: Sophist  Tanzania College – Iringa)
 Greenbelt Polytechnic College – Morogoro
 Zanzibar Institute of Journalism and Mass Communication (ZIJMC) – Zanzibar
 Habari Media Training Centre (HAMETC) – Dar es Salaam
 City Media College – Arusha
 Arusha East African Training Institute – Arusha
 AP and Prime College of Business Studies – Dar es Salaam
 DayStar Training College – Dar es Salaam
 Emmanuel Community College – Kibaha
 Victoria Institute of Tourism and Hotel Management  – Mwanza
 Zanzibar Professional Training Institute (ZPTI) – Zanzibar
 Rungwe International College of Business and Entrepreneurship – Mbeya
 Mbengwenya College of Business and Information Technology  –  Mbinga
 Musoma Utalii College – Shinyanga
 Dar es Salaam Institute of Journalism and Mass Communication (DIJMC) – Dar es Salaam
 Ubuntu Institute of Social Justice (UISJ) – Mwanza
 Institute of Skills Development (ISD) – Morogoro formerly: RK Institute of Innovations (RKII) – Morogoro)
 Mbeya Training College (MTC) – Mbeya
 Media and Values Training Institute (MEVATI) – Dar es Salaam
 Marian College of Law (MCL) – Dar es Salaam
 PCTL Training Institute (PTI) – Dar es Salaam
 KAPS Community Development Institute – Mafinga, Iringa
 Professional Skills Development International  (PSDI-CENTRE) Centre – Bagamoyo
 East African Institute of Entrepreneurship and Financial Management (EAIEFM) – Arusha
 New Focus College – Mbeya
 Northern Peaks Business College (NPBC) – Arusha
 Mbalizi Polytechnic College – Mbeya
 Genesis School of Information Technology and Journalism – Dar es Salaam
1.       Kiteto School of Nursing – Kibaya
2.       Kunduchi Nursing School – Dar es Salaam
3.       Wisdom Medical laboratory Training and Research Centre – Dodoma 
4.       Global Community College – Geita
5.       KCMC School of Assistant Medical Officers (Radiology) – Moshi
6.       School of Physiotherapy – Moshi
7.       Advanced Paediatric Nursing School – Moshi
8.       KCMC Assistant Medical Officers’ Ophthalmology School – Moshi
9.       Advanced Ophthalmic Nursing School – Moshi
10.   Nicodemus Hhando School of Health Sciences – Manyara
11.   Litembo Health Laboratory Sciences School – Mbinga

No comments: