Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe(katikati) akipokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia)vya Shule ya Sekondari Chato vyenye thamani ya Sh 30 Milioni, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa wa Mtandao wa Tigo Edgar Mapande(kushoto),kwenye halfa iliyofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Bernado Selema |
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakiwa katika picha pamoja na vifaa vya masomo ya sayansi vilivyotolewa na kamouni ya simu ya tigo |
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakifuatilia matukio wakati wa kupokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia) vyenye thamani ya Sh 30 Milioni kutoka kampuni ya Tigo. |
No comments:
Post a Comment