Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Katoro wilayani Bukoba wakishuhudia makabidhiano ya madawati 235 kwa shule za msingi mkoani Kagera toka kampuni ya simu za mkononi Tigo.
|
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Katoro wilayani Bukoba wakiwa wameketi kwenye moja ya dawati kuonyesha kuwa wamepokea madawati toka kampuni ya simu za mkononi Tigo
|
No comments:
Post a Comment