Askari wa kikosi cha kutuliza
ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo kabla ya kuanza
mazoezi ya kutuliza ghasia. ( Picha na makao makuu ya Jeshi la Polisi)
Askari wa vikosi vya kutuliza
ghasia wa wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa
kutuliza ghasia na kukabiliana na matukio yoyote ya uhalifu na
wahalifu.
Askari wa vikosi vya kutuliza
ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya
utayari wa kupambana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu
katika maeneo mbalimbali.
Askari wa kikosi cha kutuliza
ghasia mkoa wa Lindi wakifanya mazoezi magumu ya kijiweka tayari
kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza ikiwemo watu wasiotii
amri za Jeshi la Polisi ikiwa ni pamoja na kutofuata sheria za nchi.
Askari Polisi wa kikosi maalum cha
polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa katika mazoezi ya utayari wa
kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza katika maeneo
mbalimbali. ( Picha na makao makuu ya Jeshi la Polisi)
Askari wa vikosi vya kutuliza
ghasia wa wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa
kutuliza ghasia na kukabiliana na matukio yoyote ya uhalifu na
wahalifu.
Askari Polisi wa vikosi vya
kutuliza ghasia wa wa mikoa ya Lindi, Iringa, kanda maalumu ya Dar es
salaam na mikoa mengine wakipokea maelekezo mbalimbali wakati wa mazoezi
ya tayari katika kukabiliana na matukio mbalimbali ya uhalifu na
wahalifu (Picha zote na makao makuu ya Jeshi la Polisi.)
No comments:
Post a Comment