Mkuu
wa wilaya Kigoma Samson Anga (wa pili kulia) akisalimiana na baadhi ya
wanafunzi wa shule ya msingi Karuta Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya
kupokea madawati 185 kutoka kwa kampuni ya simu ya mkononi ya tigo
yaliyotolewa kwa shule tano za msingi mkoani Kigoma. |
No comments:
Post a Comment