Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kwa kanda ya Ziwa Ali Maswanya( fulana ya Blue) akimkabidhi kisima cha maji Mwenyekiti wa kijiji cha Ulowa 4 Hamad Mohamed kisima cha maji kilichojengwa na mtandao huo,wilayani Ushetu Mkoani Shinyanga.Kina thamani ya shilingi milioni16 /-. |
Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kwa kanda ya Ziwa Ali Maswanya akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Ulowa 4 Magreth Charles, wakati wa uzinduzi wa kisima wilayani Ushetu Mkoani Shinyanga.
|
No comments:
Post a Comment