Nimekusogezea Picha Kadhaa ambazo zinamuonyesha Kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Mh Zitto Kabwe akiwasili katika Uwanja wa Nkome katika kata ya Nkome kwa ajili ya kumuombea Kura Mgombea wa Udiwani wa Kata hiyo KULWA KALUKOLE katika mchakato mzima wa uchaguzi mdogo ambao unaendelea nchi nzima.picha nyingine zipo chini |
No comments:
Post a Comment