Afisa
Uhamiaji Wilaya ya Nkasi, Juma Khamis Ali (kushoto), akikabidhi taarifa ya
Idara yake kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni, wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo wilayani humo ikiwa na
lengo la kupitia shughuli zinazofanywa na idara hizo na kubaini changamoto wanazokutana nazo na
kuzitafutia ufumbuzi.Wengine pichani ni wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
wilayani humo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
No comments:
Post a Comment