Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, wakiimba kwa hamasa wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo wakati wa Ibada ya Pasaka leo.
Kwaya ya watoto ikiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo kanisani hapo leo
Waumini wakiwa makini kusikiliza mahubiri wakati wa ibada hiyo ya Pasaka
Waumini wakiimba na kucheza kwa furaha wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo
Wazee wa Kanisa wakiongoza kutoka nje baada ya ibada lumalizika
Mchungaji Mungubariki Mauki (kushoto) na Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya wakiongoza kuimba wimbo wakati wa kutoka nje baada ya ibada kumalizika
Waumini wakitoka huku wakiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo
Mchungaji Mungubariki Mauki akitoa neno la kuwaombea waumini alipokuwa akimalizia ibada ya pasaka nje ya kanisa hilo
Waumini wakisikiliza neno la mwisho kutoka kwa Mchungaji Mauki kabla ya kuruhusiwa kuondoka
Waumini wakiondoka kanisani baada ya Ibada ya Pasaka kumalizika
Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya akiwa katika picha ya pamoja na familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake
Mchungaji Mungubariki Mauki akipigapicha na familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake
No comments:
Post a Comment