Profesa Lipumba amesema hayo leo asubuhi wakati akihojiwa na Televisheni ya Clouds katika kipindi cha 360.
Amesema alidhani Dk Wilbroad Slaa ndiye atakuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Ukawa na aliafiki hilo lakini akadai hakupenda Lowassa kuwania nafasi hiyo kwa sababu ni mzigo mzito kumnadi.
No comments:
Post a Comment