Taarifa iliyotolewa na Meya wa
Ubungo, Boniphace Jacob imeeleza kuwa Nyerere alikamatwa na watu hao ambao
waliambatana na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mbutu.
“Nimepata taarifa kutoka kwa ndugu wa Yeriko ambao wamenipigia simu
alfajiri leo. Wamesema amekamatwa saa tisa usiku na watu hao ambao walivalia
kiraia. Viongozi wa Chadema wanaelekea
polisi kufuatilia kwa kina chanzo cha Yeriko kukamatwa,” amesema Jacob
Taarifa zaidi zitakuja
No comments:
Post a Comment