Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini (IGP), Simon Sirro akisikiliza
maelekezo ya jinsi inavyotumika moja ya magari manne waliyokabidhiwa na Kampuni
ya utengenezaji magari ya Haval. Anayemuelekeza ni Meneja wa Kampuni ya Kifaru,
Mario Gaspari. Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi, Oysterbay,
jijini Dar es Salaam .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
|
No comments:
Post a Comment