Pichani ni WATANZANIA alioungana na WAZAMBIA kusherekea usiku wa CASTLE LITE UNLOCKS party iliyofanyika jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuelekea kwenye tamsaha kubwa linalotarajia kufanyika leo Julai 22, 2017 viwanja vya Leaders Club na kuwakutanisha wasanii toka mataifa mbali mbali. Wasanii watakaopamba tamasha hilo ni Diamond Platnumz, Casper Nyovest Kutoka Afrika kusini, Vanessa Mdee, kundi la Weusi na Navy Kenzo ambao ni wa hapa hapa nchini Tanzania.
Shangwe zikiendelea.
Wazambia wakisherekea utamu wa Castle Lite.
Brand Manager wa Castle Lite, Isaria Kilewo akitoa salamu za shukrani kwa WATANZANIA na WAZAMBIA waliodhuria kusherekea usiku wa CASTLE LITE UNLOCKS party iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Kila mmoja alishow love...
Msosi nao ulikuwa wa kutoshaaaa...
No comments:
Post a Comment