Monday, August 28, 2017

NENO LA LEO KUTOKA KWA MZEEE KIKWETE

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete :Mimba si ugonjwa,tufanye kila tuwezalo mama na mtoto wasiiteze uhai wakati wa kujifungua, tukio la kujifungua lapaswa kuwa shangwe si huzuni

No comments: