TECNO Mobile,
kampuni inayoongoza kwa simu bora nchini Tanzania imetambulisha mfumo mpya wa
burudani na matangazo nchini ukiambatana na
simu mpya katika mpangalio wa matokeo mapya ya SPARK. Tecno Mobile
imeanzisha mtindo mpya wa kuwafwata wateja wake mitaani na kuwapa burudani
kupitia wanamuziki mbalimbali. Mtindo
huo maarufu kama SPARK TOUR umekua maarufu katka kona za mitaa za Jiji la Dar
es Salaam.
Tecno Spark
ambayo simu tambulishwa, ni simu ambayo
imekua gumzo kwa kuwapa wateja wengi wa kampuni hiyo furaha kwani bei inayouzwa
linganisa na ubora wa simu hiyo ni faida kubwa kwa wateja wa Tecno Spark.
Kupitia simu hii ya SPARK vijana wa kitanzania wameshawishika kuwasha cheche za
vipaji vyao na kuzionesha kupitia jukwaa
la Tecno SPARK udhamini wa karibu wa
Tecno Mobile.
Afisa
Mahusiano wa Tecno mobile Bwana. Eric Mkomoye amesema kua nia na madhmuni ya Tecno ni Kuendelea
kuwaltea watanzania simu bora
zenye uwezo mzur ila kwa bei
wanazoziweza kutokna na vipaji vyao. Aliongeza kua SPARK TOUR
itawafikisha watanznia wote nyanda za ziwa, kaskazini na hata mikoa ya katikati hivyo zawadi za
aina mbalimbali ikiwemo Tecno spark yenyewe
zitatolewa.
(Mitaa ya jiji la Dar es
salaam ikiwashiwa cheche za burudani na SPARK TOUR)
|
Kama isemavyo
kua kipaji chako ndio ufunguo wako , ndio inavyokua kwa vijana na watu
wanonesha vipaji kupitia simu hii mtaa kwa mtaa jijini Dar es salaam, uvumizi
wa kiburudani unafwanywa na kamouni Tecno Huku lengo likiwa pia kutoa nafasi kwa
viijana wa kitanzania kuonesha uwezo wao ili waweze kusaidiwa.
Tecno SPARK imekuja ikiwa na
utofauti mkubwa huu ikiigemea katika upande wa kiburudani zaidi .Simu
inahamasisha vijana kua na mitindo
inatambulishwa ikiwa na kamera nzuri yenye picha ang’avu kwa 13MP,
Teknolojia ya mix flash, usalama wa kibabe wa kutumia alama za vidole , kioo
chake ni kina ukubwa wa inchi 5.5 , 16gb za kuweka vitu ndani wakati inasukuma
data kwa 2gb ram. Tecno Spark inakuja ikiwa na rangi mbalimbali rangi
nyeusi,(phatom black), rangi ya dhahabu (champagne gold) na rangi ya blue
(coral blue).
(mitaa ya jiji la Dar es
salaam ikiwashiwa cheche za burudani na SPARK TOUR
|
No comments:
Post a Comment