Wednesday, October 25, 2017

Picha za hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za QNET iliyofanyika ofisi za QNET mjini Dar es laam

Waadishi wa habari katika hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za Qnet wakimsikiliza watoa mafunzo Sunny Shaper na Muqtadir Suwani  iliyfanyika katika ofisi za QNET jijini Dar es salaam

Waadishi wa habari katika hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za Qnet wakimsikiliza mtoa mafunzo Sunny Shaper  iliyfanyika katika ofisi za QNET jijini Dar es salaam.


Waadishi wa habari katika hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za Qnet wakimsikiliza mtoa mafuno Azal Tholaya iliyofanyika katika ofisi za QNET jijini Dar es salaam.

Wafanyakazi na waakilishi wa QNET  baada ya hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za QNET iliyofanyika ofisi za QNET mjini Dar es laam wakiwemo mwakilishi wa QNET, Tnazania, Benjamin Mariki, mkurugenzi, Frontline Porter Novelli, Helen Kiwia, watoa mafunzo ya bidhaa za QNET, Azal Tholaya na sunny Shaper

No comments: