Akiongea kwa masikitiko makubwa ndugu Martini alisema kuwa kwa sasa hana hata mahali pa kuishi na maisha yake yamekuwa ya kuombaomba barabarani hivyo anaomba msaada kwa Watanzania wenzake apate japo matibabu ya macho yake, lakini pia apate hifadhi kwa ajili yake na mkewe pamoja na watoto wao watatu walionao.
Ameongea mengi sana ndugu Martini na yanasikitisha sana angalia hapa japo na wewe yatakugusa na utapata moyo wa kujitolea kumchangia chochote mwenzetu huyu.
Bonyeza hapa kujionea kilichomtokea....
No comments:
Post a Comment