Ni ukweli usiopingika kuwa TECNO, ni
kampuni inayoendelea kufanya vyema katika uzalishaji na uuzaji wasimu janja
barani Afrika hivi karibuni wamepokea mtazamo chanya kupitia toleo lao jipya
Camon CM lenye sifa ya kuwa na kioo chenye wigo mpana.
Ufuatao ni uchambuzi baada ya
kuifungua Camon CM
Camon CM imehifadhiwa vema kwenye
kasha lenye sildi, ndani ya boksi nilikutana na chaji, vinasa sauti [earphone],
lakini pia simu ina ulinzi wa kioo [screen protector],sambamba na kitabu
kinachotoa maelezo kuhusu mipangilio ya simu na matumizi yake
Uwiano wa 18:9 ndo kitu
kilichonivutia zaidi ambavyo nilikuwa natamani nipate simu yenye wigo mpana
eneo la kioo,TECNO wameliwezesha hilo, ambapo Camon CM ina skrini yenye ukubwa
wa inchi 5.7 ambapo niliweza kutazama
filamu na kusoma habari mitandaoni kwa kuji nafasi pasipo kuwa na mipaka ya kuta za simu.
Nilijipiga picha [selfie] zikatoka na
ubora wa HD, kupitia 13 MP mbele na nyuma ikiambatana na flashi zake 4 ambazo
hutoa mwanga kwa kuwaka waka simu
inapoita hivyo ni rahisi kugundua simu ikiita hata ikiwa umetoa muito
Nimehifadhi programu zaidi ya 80
nikiwa na 2GB RAM & 16 GB ROM na
bado nna nafasi ya kuweka memori kadi ya ziada kufikia GB 128, hivyo sina tena
wasi wasi wa simu yangu kuzidiwa uwezo kwa kutokuwa na nafasi ya kuhhifadhi
kumbkumbu na programu mbalimbali
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya
www.tecnomobile.com/tz
No comments:
Post a Comment