STAA mkali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ ameweka wazi kuwa, mastaa wengi wanakimbilia kufanya mazoezi, lakini ukweli ni kwamba kupungua ni ishu kubwa na ipo siku watafia mazoezini.
![Picha inayohusiana](https://s-media-cache-ak0.pinimg.com/originals/99/20/b6/9920b669ba371fe387d2bcf8f842072a.jpg)
Kajala aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, ameshafanya mazoezi mno ili kupu-ngua mwili, lakini ukweli ni kwamba anazidi kufumka kila kukicha.
“Sasa hivi naona kufanya mazoezi ni kujipa mwili, lakini siyo kupungua maana hadi tunageuka mabaunsa, ni bora tupunguze kwenye msosi,” alisema Kay.
No comments:
Post a Comment