sakata la msanii wa bongo muvi elizabeth michaeli maarufu kama lulu limechukua sura mpya leo baada yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
maombi ya kuchunguzwa umri wake kutupiliwa mbali na mahakama ya rufaa na kutaka kesi yake ianze kusikilizwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini dar es salaam.
katika kesi hiyo lulu anatuhumiwa kuhusika na kifo cha msanii mwenzake steven kanumba
No comments:
Post a Comment