![]() |
| Meza ya Majaji ikijadili jambo wakati wa shindano la kusaka vipaji la Tigo Fiesta Supa Nyota mkoa wa Tanga, Toka kushoto ni Mecky Manyanga, Adam Mchomvu, Stamina na Moko Biashara. |
![]() |
| Faraji Majimoto RAI MC akifanya yake kwenye steji |
![]() |
| Sehemu ya umati uliohudhuria kwenye shindano la kusaka vipaji vya kuimba la Tigo Fiesta Supa Nyota kiwanja cha Tangamano, Tanga. |





No comments:
Post a Comment