BREAKING NEWZZZZZZZZZZ.KIDUDE AFARIKI DUNIA
MSANII WA MUZIKI WA TAARABU NA MKONGWE KULIKO WOTE NCHINI MAARUFU KAMA BIBI IDUDE AMEFARIKI DUNIA LEO TAREHE 17.TAARIFA ZINASEMA KUWA MASHISHI YATAFANYIKA NYUMBANI KWAKE BAADA YA MIPANGO KUKAMILIKA MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA
No comments:
Post a Comment