Wednesday, April 17, 2013

ziara ya CCM Ifakara, Morogoro 1. KINANA AKIHUTUBIA STENDI YA IFAKARA MJINI 6550c

1. KINANA AKIHUTUBIA STENDI YA IFAKARA MJINI 6550c


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi kwenye uwanja wa stendi ya mabasi, mjini Ifakara mkoani Morogoro.


 


 

 

3. BAADHI YA WAFUASI WA CHADEMA WAKIWA KWENYE MKUTANO WA CCM STENDI YA MABASI  IFAKARA 1cbc3

Baadhi ya wafuasi wa Chadema wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, alipohutubia mkutano mkubwa wa hadhara kwenye Stendi ya mabasi ya Ifakara mkoani Morogoro.

 

4. WAKAZI WA IFAKARA WALIOKUWA WAKIFANYA BIASHARA YA NDIZI WAKIWA WAKIMSIKILIZA KINANA 5a598

 

Baadhi ya wafanyabiashara walilazimika kusitisha shughuli zao kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipohutubia mkutano mkubwa wa hadhara kwenye stenbdi ya mabasi, Ifakara mkoani Morogoro. Pichani ni wauza ndizi wakiwa kwenye mkutano huo.

 

5. NAPE AKIPIGA NGOMA WAKATI WA UZINDUZI SHINA LA WAKEREKETWA LA MANJECHANGA TAWI LA MAHUTANGA IFAKARA  74dd1

 

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipiga ngoma wakati wa uzinduzi wa Shina la Wakereketwa  wa CCM la tawi la Manjechanga, Ifakara mkoani Morogoro.

 

6. NAPE AKIZINDUA SHINA LA WAKEREKETWA LA MANJECHANGA TAWI LA MAHUTANGA  b879e

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifungua Shina la Wakereketwa  wa CCM la tawi la Manjechanga, Ifakara mkoani Morogoro. Chanzo: Bashir Nkoromo


 kwa naba ya mjengwa blog

No comments: