Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kulia akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Ally Masaga wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam Class akijiandaa na mpambano wake wa Mei Mosi dhidi ya Amos Mwamakula utakaopigwa katika ukumbi wa PTA Saba saba.
Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ (kulia) akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Kasimu Gamboo wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam Class akijiandaa na mpambano wake wa Mei Mosi na Amos Mwamakula utakaopigwa katika ukumbi wa PTA Saba saba Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments:
Post a Comment