Mtu mmoja ambaye jina lake bado
halijafahamika, amefariki dunia baada ya kuteleza na kuanguka wakati alipokua
akijaribu kudandia Daladala maeneo ya Ilala Boma, Jijini Dar es Salaam, asubuhi leo. Marehemu huyo
baada ya kuanguka na kupiga kichwa kwenye lami, alipasuka kichwa na kuvuja damu
nyingi kichwani, na kufariki katika eneo la tukio.
No comments:
Post a Comment