HIVI NDIVYO LADY JAYDEE ALIVYOWASILI MAHAKAMANI YA WILAYA KINONDONI DAR ES SALAAM.
Mwanamuziki wa kizazi kipya Judith Wambura 'Jay Dee' akiwa na mumewe Gadner Habash kabla ya wakisuburi kesi kutajwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kindondoni leo asubuhi saa 3, angalia picha zaidi
No comments:
Post a Comment