kwa hisani ya habari mpasuko blog
Kumekuwa na maswali mengi ya kwanini sionekani na niko kimya sana. Kujibu maswali hayo ni kwamba nimekuwa siko sawa kiafya.
Lakini nashukuru Mungu sasa naendelea vizuri. Ahsanteni sana kwa kunionyesha upendo wenu.
Nawatakia siku njema.
No comments:
Post a Comment