Denisia
Mangwea[63] leo asubuhi ameanguka ghafla baada ya kupoeka taarifa kwamba mwili
wa mtoto wake Albeth umeshindwa kuwasili nchini ukitokea Afrika ya
kusini.Mtandao huu leo mchana ulipokea taarifa z a tukio hilo
ambapo ambapo dada mkubwa wa Albeth Bi Magreth Mangwea alipoulizwa
alithibitisha mama yake kuanguka ghafla baada ya kusikia mwili wa mpendwa mtoto
wake umeshindwa kuwasili nchini.
"
Ni kweli leo asubuhi mama alipoamka tu kauli mwili wa mwanae umeshafika Dar es
salaam alipoambia bado haijasika aliangua kwa presha na kwa sasa amelazwa
hospita ya mkoa wa Morogoro akiendelea na matibabu mchna huu nimetoka huko
amezinduka na anaendela vizuri kwa sasa na kwamba muda wowote anaweza kutolewa
hospital"alisema Bi Magreth huku akiangua kilio.Mwandishi wa habari hizi
alifika katika hospital hiyo na kukuta mama huyo mtaratibu akijianda kupewa
ruhusa ya kurejea nyumbani
No comments:
Post a Comment