Wednesday, June 26, 2013

TENDWA ATISHIA KUKIFUTA CHADEMA IKIBAINIKA KINAHUSIKA NA MLIPUKO ARUSHA




     Msajili wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa,  amedai kuwa ikibainika kuwa CHADEMA ndio waliohusika katika kulipua bomu katika mkutano wao wa 15/06/2013 atakifuta.


      Tendwa  ameyasema   hayo alipokuwa akizungumza katika kipindi cha Hot Mix cha East Africa Television akijibu swali la mtangazaji wa kipindi Adrian Stepp  kuhusu  hatua  zitakazochukuliwa...
 

       Alipoulizwa kama itathibitika kuwa CCM ndio walihusika kulipua bomu hilo amedai kuwa hawezi kukifuta       kwakuwa kwa kufanya hivyo itakuwa ni kufanya mapinduzi ya kalamu.

No comments: