Wednesday, July 10, 2013
TAARIFA YA MSIBA KUHUSU MAMA WA Z--ANTO
MSANII HUYU MARUUFU KAMA Z-ANTO AMEFIWA NA MAMA YAKE MCHANA WA LEO NA MSIBA UNAENDELEA NYUMBANI KWAO KIGAMBONI .KWA NIABA YA MTANDAO HUU WA WATU TUNAMPA POLE SANA NA MUNGU AMPE NGUVU SANA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MSIBA
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment