WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA NA YULE WA INDIA WAKISAINI MAKUBALIANO HAYO |
MAWAZIRI HAO WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI KUHUSU MAKUBALIANO HAYO |
SERIKALI YA TANZANIA NA INDIA ZIMESAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANOKATIKA MASWLA MBALIMBALI
WAZIRI MEMBE AMESEMA MAKUBALIANO HAYO NI USHIRIKIANO KATIKA MASWALLA YA KILIMO,UCHUMI,NA SECTA NYINGINE
AMEONGEZA KUWA SASA WAKULIMA WA TANZANIA WANA UWEZO WA KWENDA KUUZA MAZAO YAO HUKO INDIA BILA YA KUTOZWA KODI
No comments:
Post a Comment