![]() |
HUYU NDIYE MWANADADA ALIYEKAMATWA PAMOJA NA AGNESS MASOGANGE NA MADAWA YA KULEVYA HUKO AFRIICA YA KUSINI INASEMEKANA KUWA HUYU NI MDOGO WAKE NA MASOGANGE JAPO KUWA BADO HAIJADHIBITISHWA KAMA NI KWELI NI HIVYO WADADA HAO WAMEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYYA HUKO BONDENI NA WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI LA NCHI HIYO |
![]() |
SIKU CHACHE KABLA YA KUKAMATWA KWAO MWANADADA MASOGANGE ALIWEKA PICHA HII KWENYE MITANDAO YA KIJAMII AKIJINADI KUWA ANAKULA BATA SANA HUKO AFRICA YA KUSINI |
No comments:
Post a Comment