WIZARA YA NISHATI NA MADINI JANA ILITOA MAJINA YA WANAFUNZI NANE AMBAO WATAKWENDA CHINA KWA MASOMAO MALUU YA MASWALA YA NISHATI NA MADINI ILI BAADAE WAJE WALISAIDIE TAIFA
HAWA NDIO WANAFUNZI WALIOBAHATIKA KUPATA NAFASI HIYO
1- TECLA MPONDA
2- YAZID IDDI
3- PAUL MSULANG
4- GRACE MKONGWA
5- MAGGI MTAKI
6 - COSMAS JILAAB
7- ANGELICA LUBANGO
8- JANUARIUS MATATA
Saturday, August 31, 2013
HIVI NDINYO CHEKA ALIVYOMZIMA MMAREKANI JANA
Bondia
Francis Cheka wa Tanzania (kulia) akimuadhibu mpinzani wake Mmarekani,
Phill Williams, wakaati wa pambano lao la raundi 12 la kuwania Ubingwa
wa Dunia uzito wa Super Middle (WBF) lililofanyika kwenye Ukumbi wa
Diamond Jubilee usiku huu. Katika pambano hilo Bondi Mtanzania Francis Cheka ameweza kumgalagaza kwa Pointi mpinzani wake na kutwaa ubingwa huo.
*******************
Na Mwandishi Wetu
HATA
hivyo pambano hilo pamoja na yale ya utangulizi yaliingia dosari baada
ya wachezaji kama Alfonce Mchumiatumbo, aliyekuwa akizichapa na Chupac
Chipindi katika pambano lao la utangulizi la raundi sita, kugoma kupanda
ulingoni kwa kile walichokuwa wakieleza mabondia hao kuwa wanahitaji
kumaliziwa pesa zao za mkataba wa kucheza mechi hizo kabla ya kupanda
ulingoni.
Nao
mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali, pia waligoma kupanda ulingoni
wakishinikiza kumaliziwa pesa zao kwanza jambo ambalo lilifanya kuzua
taflani ukumbini hapoa huku mapambano yakichelewa kuanza.
Ilipofika
muda wa Cheka kupanda ulingoni pia alisikika mtangazaji akimuita
muandaaji wa mapambano hayo ili kufika chumba alichokuwa Bondia
mtanzania, Francis Cheka ili kumalizana naye mkwanja ili akubali kupanda
ulingoni.
Alisikika
Cheka akimuwakia muandaaji huyo kuwa, '' Nini Mmarekani hata angekuwa
Mchina, nimalizie changu kwanza ili nipande ulingoni, ambalo pia
lilichukua muda wa majadiliano hadi kuingiliwa kati na wadhamini na
wadau wa ngumi waliotangaza kujikomiti kulipa pesa hizo wanazodai
mabondia, ndipo mabondia hapo wakapanda ulingoni.
Aidha
katika pambano la raundi 10 la mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali la
kuwania Ubingwa wa WBF wa Afrika, Thomas Mashali ameweza kumshinda kwa
pointi 2 tu mpinzani wake Mada Maugo na kutwaa Mkanda huo wa ubingwa wa
WBF wa Afrika.
Na
katika pambano la Utito wa Juu la utangulizi la Raundi sita kati ya
Bondia Alfonce Mchumiatumbo na Chupac Chipindi, Mchumiatumbo amemchapa
kwa KO mpinzani wake katika raundi ya tano, baada Chupac kunyoosha
mikono juu kuashiria na wasaidizi wake kutupa taulo ulingoni kuashiria
kushindwa kumalizia mchezo huo.
Waziri
wa Habari, Fenella Mukangara (katikati) akipozi na mabondia Phill na
Cheka, ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa pambano hilo la kimataifa.
Waziri
wa Habari, Fenella Mukangara (wa pili kushoto) akimvisha Mknda wa
Ubingwa wa Dunia wa WBF Bondia Francis Cheka baada ya kumchapa kwa
Pointi mpinzani wake Mmarekani, Phill Williams, katika pambano lao la
raundi 12 lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku huu.
Mashabiki wa Cheka wakifurahi na kumbeba baada ya kutangazwa mshindi.
Bondia
Mmarekani Phill Williams (kulia) akichapana na Francis Cheka wa
Tanzania katika pambano lao lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa
Diamond Jubilee.
Mabondia hao wakiliana Timing.......
Cheka (kulia) na Phill wakichapana......
Cheka (kulia) na Phill,wakiendelea kuchapana
We subiri inakuja hiyooooo
Sehemu ya mashabiki wa mchezo huo waliofurika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kumshuhudia Cheka akimchakza Mmarekani.
Sehemu ya mashabiki wa mchezo huo waliofurika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kumshuhudia Cheka akimchakza Mmarekani.
Baadhi ya wageni waalikwa walioshuhudia mchezo huo.
Bondia Mada Maugo (kulia) akimwadhibu mpinzani wake, Thomas
Mashari
kwa konde zito wakati wa pambano lao la raundi 10 la kuwania ubingwa wa
Dunia wa WBF, ambapo Mashali ameibuka mshindi kwa
Pointi dhidi ya Maugo.
Chanzo: Sufiani Mafoto Blog.
Thursday, August 29, 2013
HATIMAYE YAMETIMIA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA CHELSEA.
MAJAMBAZI WAJICHUKULIA PESA BENK KIRAHISI DAR,MLINZI ALIKUWA HANA HATA KIRUNGU,KOVA AKASIRIKA ATANGAZA MILION 100 ATAKAYEWALETA,WENGINE WAMCHOMA DEREVA TAX KISU USIKU HADI KUFA
Watu wanaosadikiwa n majambazi leo jijini dar es salaam wamevamia benk ya HABIBU AFRICAN BENK ILIYOPO KARIAKOO JIJNI DAR ES SALAAM na kufanikiwa kupora zaidi ya bilion moja ya kitanzania huku waakiondoka kimya kimya bila tatizo lolote
Akidhibitisha kutokea kwa tukio hilo mbele ya waandishi wa habari jijini dar kamishna wa kamda maalum ya dar es salaam SULEMAN KOVA amesema kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa tatu aubuhi ambapo majambazi hao waliingia kama wateja na kisha kuanza kuwaweka wafanyakazi wa benki hiyo chini ya ulinzi na kisha kupora fedha zote katika benk hiyo
Amesema kuwa baada ya polisi kufika katika eneo hilo wamegundua kuna mazingira ya uzembe wa uongozi wa benki hiyo ikiwemo mlinzi aliyekuwa akilinda alikuwa hana silaha yoyote hata rungu ya kujihami kitu ambacho amesema kuwa ni makosa makubwa sana,aidha amesema kuwa benki hiyo haikuwa na ulinzi wa uhakkika ikiwemo kamera za cctv ambazo amesema hazikuwepo.
Aidha amesema kuwa jeshi la polisi linamshikilia meneja wa benki hiyo DANIEL MATEMBA pamoja na mlinzi ENDRU PETER kutokana na kuonekana kuwa wamepanga njama za tukio hilo kutokana na wao kutokuhangaika kuwazuia wezi hao ambapo amesema kuwa jeshi linawahoji kujua kama wanahusika ama la.
Aidha katika tukio jingine usiku wa kuamkia leo poisi imekamata watu wanne kwa tuhuma za kumchoma dereva tax kisu kifuani hadi kufa maeneo ya OBAMA ROAD jjini dar es salaam
KAMISHNA KOVA AMMETANGAZA HALI HATARI HUKU AKITOA MILLION 100 KWA YEYOTE ATAKEYELETA TAAIFA ZA WAHALIFU HAO
Wednesday, August 28, 2013
POLISI DAR YACHARUKA,MAJAMBAZI 9 WAKAMATWA YUMO ASKARI POLISI,WENGINE WANATUMIA SARE ZA JESHI
PICHA NA MAKTABA |
Amesema kuwa wakati wakitoka alitokea mwananchi wa kawaida aliyekutana nao mlanhgoni ndipo alifanikiwa kumzuia mmoja na nipo wnanchi walipofika na kutaka kumpiga,ghafla alijitokea askari mohidin ambaye alikuwa likio na kudai wamwachie aondoke naye kani yeye ni askari lakini wananchi wale walipinga kitendo kile na ndipo walipowaita askari wa ukweli na kuwakamata wote wawili.
wengine waliokamatwa ni FARUK OMARI,OMGBA KHERI,PAMOJA NA GHALIBU IBRAHIMU
Aidha katika tukio lingine jeshi la polisi limeakamata majambazi watano huko temeke ambao wlikuwa wanatumia sare za jeshi la wananchi tanzania pamja na za jeshi la polisi na vifaa kama pingi,na silaha katika kufanya uhalifu wao
Aidha kova ameomba kwa wananchi kutoa ushirikiano katika kuwafichua wahalifu kama hao katika mitaa huko akitamba kuwa sasa wameanza kazi ya kuwafuta majambazi ama hao jijini dar es salaam
WAHAMIAJI HARAMU WAANZA KUIKIMBIA TANZANIA
Jumla ya wahamiaji haramu 21192 kutoka mikoa ya kagera rukwa,na kigoma wamerejea katika nchi zao baada ya agizo la raisi jk kuwataka kurfanya hivyo Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam msemaji wa idara ya uhamiaji ABASI MUSA ILOVIA amesema kuwa wahamiaji hao walikuwa wanatoka katika nchi za BURUNDI,DRC,ZAMBIA,PAMOJA NA RWANDA,AMBAO AMESEMA KUWA WAMEONDOKA KWA HIARI
Aidha amesema kuwa bado zoezi hilo la kuaondoa wahamiaji haramu nchini linaendelea na kuwataka ambao bado hawataki kutii agizo hilo kufanya hivyo mara moja kabla zoezi la kuwaondoa kwa nguvu halijaanza
Aidha amesema kuwa bado zoezi hilo la kuaondoa wahamiaji haramu nchini linaendelea na kuwataka ambao bado hawataki kutii agizo hilo kufanya hivyo mara moja kabla zoezi la kuwaondoa kwa nguvu halijaanza
Monday, August 26, 2013
KUELEKEA MCHEZO WA CHELSEA NA MAN U SOMA TAMBO ZA MAKOCHA
KOCHA Jose Mourinho amemmuambia David Moyes: Sikumvurugia Wayne Rooney, umefanya wewe.
Mourinho
anapeleka timu yake kuvaana na Manchester United leo na anataka
kumvurua Moyes kuelekea mchezo huo wa kwanza wa ushindani kwake tangu
arithi mikoba ya Sir Alex Ferguson.
Chelsea
jana imethibitisha kumsaini Willian, na Samuel Eto’o yupo kwenye orodha
pia kutoka Anzhi Makhachkala, lakini wameendelea komalia pia na saini
ya Rooney na wanajiandaa kurejea na ofa iliyoboreshwa ya Pauni Milioni
30.
Mchezo wa lawama: Jose Mourinho amemsukumia lawama David Moyes kumvuruga Wayne Rooney (kulia)
Mtu wa kati: Mourinho angependa kumnunua Rooney kutoka Manchester United
Chaguo la pili: Moyes amemuambia Wayne Rooney ni chaguo la pili baada ya Robin van Persie
Moyes ameendelea kusistiza Rooney hauzwi na anaweza kucheza usiku wa leo, ingawa Mourinho anaamini bado anaweza kumnasa Rooney.
"Kwa
nini?" alisema Mourinho, wakati alipoulizwa kama anatarajia mapoekzi
mazuri kutoka kwa mashabiki wa United. "Wako dhidi yangu? Lakini
sikusema utakuwa chaguo la pili kwangu.
"Tunajaribu kupata mchezaji mzuri ambaye Kocha atakuwa chaguo la pili kwake. Hatumfuati Van
Persie. Hawatakiwi kuwa dhidi yangu. Ikiwa nilisema Ramires ni chaguo
la pili kwangu na anacheza wakati Lampard amechoka, au majeruhi na ikiwa
atatokea mtu kumchukua Ramires, hakuna atakayeshangaa,". Alipoulizwa
kama lilikuwa kosa la Moyes, Mourinho alisema: "Ndio.’
Ilikuwa
katikati ya Julai wakati Moyes aliposema: "Kwa ujumla fikra zangu juu
ya Wayne ni, ni kwa sababu yeyote Robin van Persie ni majeruhi,
tutamuhitaji,"alisema.
Hii ni kauli ambayo iliikera kambi ya Rooney, ambayo ilisema mchezaji huyo amekasirika na amechananyikiwa.
Anakuja: Mazungumzo yameanza juu ya Samuel Eto'o ambaye ni mpango B wa Mourinho
Subscribe to:
Posts (Atom)