MSANII MAARUFU KUTOKA GHANA FUSE ODG JANA ALIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA SHOW YAKE ITAKAYOFANYIKA LEO KATIKA VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII KIJITONYAMAJIJINI DAR ES SALAAM.HAPA NI BAADHI YA PICHA AKICHEZA WIMBO WA AZONTO PAMOJA NA WAANDISHI WA HABARI JANA |
No comments:
Post a Comment