AFISA HABARI WA KAMPUNI YA AIRTEL AKIWA NA MSHINDI WA NYUMBA YA PILI YA AIRTEL ANNA LYIMO |
Akizungumza na wanahabri anna amesema kuwa lengo lake lilikuwa ni kumiliki nyumba yake na sasa kampuni ya airtel imefanikisha ndoto zake hizo za muda mrefi huku akiwataka watanzania kuamini kuwa wanaweza kushinda nyumba moja iliyobaki
AKIKABIDHIWA CHETI CHAKE |
DADA ANNA LYIMO AKIONYESHA CHETI CHAKE KUWA YEYE NDIYE MSHINDI WA NYUMBA YA PILI YA AIRTEL |
DADA ANNA LYIMO AKIWA NA BAADHI YA NDUGU ZAKE WAKIWA KATIKA UTAMBULISHO MBELE YA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM |
No comments:
Post a Comment