ZANTEL YAKABIDHI MSHINDI WAKE WA 12 PIKIPIKI AINA YA VESPA NI KATIKA PROMOSHEN YA KWANGUA NA USHINDE
Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel upande wa Zanzibar, Mohamed Mussa, akimkabidhi Bwana Said
Hamad Abdulla mshindi promosheni ya Kwangua na Ushinde zawadi yake ya
pikipiki aina ya Vespa katika duka la huduma la wateja la Zantel,
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment