kama unaipenda ccm soma hapa .MAFUNZO YA MAKATIBU NA WENYEVITI WA WILAYA NA MIKOA WA CCM YAPAMBA MOTO MKOANI DODOMA.PICHA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
akizungumza mwanzini mwa siku ya tatu ya semina ya mafunzo kwa watendaji
na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013,
katika ukumbi wa Sekretarieti, Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM
mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Mohamed Seif
Khatib na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa mada kuhusu namna nzuri ya kuandaa mikutano,
katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na
viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao
Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Washiriki wa semina ya mafunzo kwa
watendaji na viongozi wa CCM, wakiwa wamefurika ukumbini katika siku ya
tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM
ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe na Makatibu wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), wakiongozwa
na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kusikiliza mada iliyokuwa
ikitolewa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (hayupo
pichani) katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa
watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23,
2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
akisalimiana na baadhi ya wajumbe, katika siku ya tatu ya semina ya
mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na
mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (kulia, safu ya mbele) akifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Nape (hayupo pichani), katika siku ya tatu ya
semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa CCM, Wilaya ya Kasulu mkoani
Kigoma, Kombo Kamote, akiongoza kuimba wimbo wa hamasa, katika siku ya
tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM
ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma. Kulia kwake ni Katibu wa CCM, wilaya ya Kigoma mjini, Augustine
Minja.
Baadhi ya wajumbe wakipitia ratiba, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Mkuu wa Mafunzo ya taaluma makao makuu
ya CCM, Hadija Faraji (kushoto), akiwa miongoni mwa jopo la
sekretarieti, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa
watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23,
2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wakibadilishana mawazo, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Sekretarieti ikiwa kazini, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.
SOURCE HABARI MPASUKO
No comments:
Post a Comment